Afya ya kinywa na meno

Afya ya kinywa na meno Pata elimu juu ya magonjwa mbali mbali ya kinywa na meno.

 ❤️
08/03/2026

❤️

Happy new Year!
01/01/2026

Happy new Year!


Merry Christmas everyone🔥
25/12/2025

Merry Christmas everyone🔥

Meet the smile expert for the world’s greatest – Dr. Miguel Stanley.CR7’s smiles expert💡
20/09/2025

Meet the smile expert for the world’s greatest – Dr. Miguel Stanley.

CR7’s smiles expert💡

Meet the smile expert for the G.O.A.T – Dr. Miguel Stanley.
20/09/2025

Meet the smile expert for the G.O.A.T – Dr. Miguel Stanley.

A warm thank you to Fuxi Dentist for welcoming us to their clinic in Shanghai.We had the chance to tour their facilities...
13/09/2025

A warm thank you to Fuxi Dentist for welcoming us to their clinic in Shanghai.

We had the chance to tour their facilities and learn firsthand how they operate to provide quality dental care. Truly inspiring to see dentistry in action at an international level!

Happy Sabasaba Day!
07/07/2025

Happy Sabasaba Day!

Maonesho ya kimataifa ya kinywa na meno Tanzania. .Mlimani city - Dar es salaam.
31/05/2025

Maonesho ya kimataifa ya kinywa na meno Tanzania.
.

Mlimani city - Dar es salaam.

We are open!
07/04/2025

We are open!

Eid Mubarak from the dental chair!
31/03/2025

Eid Mubarak from the dental chair!

Timu yetu ya upasuaji imefanikiwa kufanya upasuaji mkubwa kwa wagonjwa takribani 16 ambao walifika katika hospitali ya r...
20/03/2025

Timu yetu ya upasuaji imefanikiwa kufanya upasuaji mkubwa kwa wagonjwa takribani 16 ambao walifika katika hospitali ya rufaa ya kanda Mtwara na kuoatiwa huduma hiyo bila malipo.

Leo tunaadhimisha siku ya afya ya kinywa na meno duniani. Na tuko hapa uwanja wa Mashujaa mkoani Mtwara.


Leo ni siku ya afya ya kinywa na meno.Ripoti za shirika la afya duniani (WHO) zinaonyesha taketibani watu Bilioni 3.5 wa...
20/03/2025

Leo ni siku ya afya ya kinywa na meno.

Ripoti za shirika la afya duniani (WHO) zinaonyesha taketibani watu Bilioni 3.5 wana ugonjwa wa kutoboka meno.

Tupunguze matumizi ya vivywaji/vyakula vyenye sukari nyingi. Tupige mswaki mara mbili kwa siku, Tufanye check ups, Tutumie dawa za meno zenye madini ya Fluoride.

Kwa kufanya hivi tutaweza kujikinga na ugonjwa huu.

Address

Dar Es Salam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya kinywa na meno posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya kinywa na meno:

Share