04/06/2020
Kumbuka kuuchunguza mtoto wako pindi ukifika muda wa kuota meno ya ukubwani ( permanent teeth eruption) ili kugundua km yanaota sahihi au na kasoro ili uchukue hatua stahikifika tukushauri jinsi ya huduma ili uepuke gharama baadae kwenye kunyoosha meno ya mtoto..
Tupigie tukuhudumie
📞 0712162153
📞 0686629991
RDC NI ZAIDI YA TABASAMU..😘😘😘