23/04/2022
Moja Kati ya wagonjwa tunaoendelea kuwahudumia.
Picha zote 1 na 2
Tatizo; Meno katika sehemu ya mbele kushindwa kukutana/kung'ata na hivyo kuwa na uwazi wakati wote, hii heleta shida katika Kuongea ,kushindwa kabisa kung'ata vyakula kupitia meno ya mbele na pia kuleta shida katika kumeza chakula.
Sababu: Kunyonya Kidole kipindi Cha utotoni > umri wa miaka 5, Kunyonya Ulimi n.k
Japo Sababu ya hili tatizo zipo kadha wa kadha.
Picha: no. 1 baada ya kuanzishwa matibabu na maendelea ya matibabu katika miezi 5.
Picha: no. 2 Ni muendelezo wa matibabu ambapo nyanya maalumu hukunjwa na madaktari wabobezi k**a ilivyo katika picha na hivyo kusaidia Kuziba uwazi huo wa mbele. (the MEAW technique).
+255764460381