22/06/2018
UGAGA (CALCULUS)
Je meno yako yamelegea?
Je, meno yako yamepinda, na kuacha nafasi wakati hapo kabla hayakuwa hivyo?
Je, Je fizi zako zimejivuta chini na kufanya meno yako yaoenekane ni marefu sana.
Je, Fizi zako hutoa damu wakati wa kupigwa mswaki?
Je, unatoa harufu mbaya mdomoni na kupata maumivu ya fizi
Je, Meno yako yanalegea tu na kutoka bila kuoza?
Nafikiri jibu lako ni ndio? K**a huna dalili zote basi una moja kati ya hizo, na k**a zimetimia zote basi hiyo ni tatizo gani?
Hiyo ni UGAGA………KITAALAMU TUNAITA ( CALCULUS )
Ni utando mgumu sana unaojijenga kwenye meno hasa pale ambapo ufizi unaishia .
Tabaka hili linapojijenga na hatimaye kuwa gumu huwa haliwezi kutoka kwa mswaki.
Tafadhali baada ya kusoma ujumbe huu, chukua kiyoo chako ujikague kinywa chako kwa umakini, unaweza kutizama picha tulizoziweka kisha ukafananisha na kinywa chako.
AL-ABBAS DENTAL CLINIC ILIOKO BUKOBA MJINI INATOA HUDUMA KWA WALE WENYE MATATIZO HAYA. TAFADHALI FIKA KATIKA CLINIC YETU KWA MSAADA ZAIDI.
NAMBA ZETU NI +255 767 291 030 unaweza kupiga au kutuma whatsapp msg una utajibiwa.
PAMOJA NA HAYO PIA TUNAFANYA HUDUMA ZIFUATAZO.
Tunang’oa meno
Tunaziba meno yenye matundu.
Tunasafisha kinywa chenye kutoa harufu mbaya
Tunafanya RCT
Tunakaza meno yaliolegea.
Tunasafisha meno kwa mtu alietumia vinywaji venye rangi k**a kahawa na………pia kwa alievuta sigara meno yakabadilika.
Tunaunga taya zilizovunjika kwa ajali
TUNATENGENEZA MENO YA BANDIA.
SAMBAZA UJUMBE HUU, NA LIKE PAGE YETU, TUTAKUTUMIA UJUMBE WA KUPATA NAFASI YA KUONANA NA WATAALAMU WETU BURE KWA UANGALIZI WA MENO YAKO.
AL-ABBAS DENTAL CLINIC
ITS TIME TO SMILE AGAIN.