25/03/2026
Ni kweli, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi, amefariki dunia.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi zilizotolewa leo Jumatano, Machi 25, 2026, Mheshimiwa Lukuvi amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma baada ya kupata mshtuko wa moyo. Rais Samia Suluhu Hassan ameshatoa salamu za rambirambi kwa familia, bunge, na Watanzania wote kufuatia msiba huu mkubwa.